Joshua 2:11

11 aTuliposikia juu ya hili, mioyo yetu iliyeyuka na kila mmoja alikosa ujasiri kwa sababu yenu, kwa maana Bwana Mwenyezi Mungu wenu ni Mungu juu mbinguni na duniani chini.
Copyright information for SwhKC